FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

MAZINGIRA YETU





Awamu ya tano ya utawala wa Rais Magufuli, ni awamu ambayo izigatia umuhimu wa afya kwa kutunza mazingira ambayo yanayotuzunguka katika maisha yetu ya kila siku.

kupitia kauli mbiu ya Rais wa Jamuhuri wa Tamzania ya "HAPA KAZI TU!" ni kauli ambayo huamsha au huleta hamasa ndani ya nchi hata nje ya nchi ya watu kuamaka sasa na kufanya kazi kwa manufaa  yao wenyewe hata pia kitaifa kwa ujumla.Sihivyo tu ni lazima wananchi wa nchi husika au Tanzaina kufanya kazi ili kuepuka na janga kubwa la ukosefu wa mahitaji katika maisha yetu ya kila siku.
Ni furaha kupata uongozi amabao unaojali afya ya wanachi wao kwa kuwahimiza kufaya usafi kila siku kwani hii husaidia kwa asilimia kubwa kupunguza maambukizo ya magujwa ya milipuko mfano kipindupindu ambacho ndicho gumzo kubwa katika sehemu kubwa ya nchi.

Mazingira yakiwa masafi katika maeneo unayoishi ni dhahili kuwa wewe unajali afya yako pia ni moja ya kulinda jamii inayokuzunguka katika maenro unakoishi. Siku zote usafi huanzia ndani mpaka nje kunafaida nyingi sana za kutunza mazingira ikiwemo kuepuka na magojwa ya mlipuko n.k,

hivyo sasa tutunze mazingira nayo yatatutunza vilevile uhifadhi au utunzaji wa misitu ni moja ya kuweka mazingira amabayo nifaida katika taifa letu kwa kupata kipato mbalimbali kutoka mistuni.

mazingira ni afya yatunze nayo yatakutunza