FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ACHANGIA KANISA MILIONI 150.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro. Akizungumza leo katika ibada ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi huo, Mwenyekiti Freeman Mbowe ambaye husali katika Kanisa hilo amesema alishirikisha Watu mbalimbali kuhusu kuchangia ambapo miongoni mwao ni Rais Dkt. Samia.