FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

TFF YAFUNGUKA KUHUSU KULEJEA KWA LIGI KUU



Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania  (TFF) pamoja na bodi ya ligi (TPLB) wamedai kuwa bado wanaendelea na michakato ya ndani ya ndani kuelekea kwenye kurejea kwa ligi.