FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

MBOSSO ATAMBA KIBABE AWAJIBU WANAZENGO



Mbosso awajibu wote wanaosema anazaa hovyo hovyo kila mtoto na mama yake..

Amefunguka vikali... "Mimi wala sizai bali nazalisha na nina mbegu za kutosha tena zenye rutuba ndio maana nawazalisha, kwahiyo hata wewe ukitaka mtoto njoo nikuzalishe acha wivu" Mbosso #KhanBoy #Mwamba...

Pichani Mbosso(28) na watoto wake ambao wamezaliwa mwezi mmoja na mama tofauti mama mmoja akiwa Mtanzania na mwingine akiwa Mkenya.