FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

Kagere aitupa nje Jang'ombe Boys




 Kagere alifunga bao la kwanza dakika ya 64 kwa  kichwa akimalizia krosi iliyopigwa na Innocent Wahula.

Mshambuliaji huyo ambaye mara kadhaa amekuwa akizitoa udenda klabu za Simba na Yanga alifunga bao la pili dakika ya 83 kwa  penalti baada ya mlinzi wa Jang'ombe kuunawa

mpira katika eneo la hatari.

Kwa matokeo hayo Gor Mahia sasa inasubiri mshindi kati ya Simba na Nakuru All Stars katika hatua ya nusu fainali.