MABONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' na Baina Mazola 'Simba Mazola' wameingia mkataba wa makubaliano ya kuzipiga siku ya Agost 26 katika ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es salaam mabondia hawo ambao kila mmoja anatamba kumnyuka mwenzake
katika raundi za awali kwa kila mmoja
mpambano uho umekuwa na mashabiki wengi kila mmoja akijinasibu kumdunda mwenzake pande hizo mbili zinazotaka kujua nani zaidi ya mwenzie ni kambi ya Mazola ambapo anatokea kitongoji cha Mabibo ambapo kuna mabondia wengi upande uho
mpambano uho umekuwa na mashabiki wengi kila mmoja akijinasibu kumdunda mwenzake pande hizo mbili zinazotaka kujua nani zaidi ya mwenzie ni kambi ya Mazola ambapo anatokea kitongoji cha Mabibo ambapo kuna mabondia wengi upande uho
uku Miyeyusho akitaka kuonesha ukongwe wake katika masumbwi na kusema yeye ni zaidi ya mabondia wote katika uzito wake
akizungumzia mpambano uho mratibu wa pambano ilo kaizirege jabiri dragon kaizum amesema mbali ya mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine mengi tu yatakayosindikiza siku hiyo
sajo bosco Jr atakumbana na juma rashidi mdobi na Issa Nampepecha ataoneshana umwamba na Abbas Mwamba wakati Karim Ramadhani ataoneshana kazi na Yohana Dhobian na Keisii Amali atakuchiana ngumi na Hashimu Chisola na Said Wigo atazipiga na Chicho Ramadhani
Mapambano haya yote yatasimamiwa na Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC ambayo yenye dhamana ya kuendesha mchezo wa ndondi za kulipwa nchini
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile