Unafikili
wewe kama binaadamu wakawaida kabisa umeshawahi kufikilia au kujiuliza
swali kuwa kila uchaguzi wowote amabo
hufanyika Duniani kote hapakosi migogoro ya hapa na pale?.
Kikawaida
kwakufikilia haraka nafikili tayali kitu kama hiki kimekutokea na kama bado nakusihii fikili
sasa ila tuepukanae na kashikashi hizi amabzo hutokea wakati wa uchanguzi
Kashikashi
hizi hutokea pale ambapo upande mwingine wa ugombeaji kuonekana kuwa na alama
dogo au kura dogo za ushindi katika uchaguzi huo ,Uchaguzi Mkuu wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania ambapo ilihusisha vyama vingi vilivyoshiliki katika kuwania uongozi
mkuu wa (Rais , Wabunge pia hata Madiwani) kulitokea kashikashi ya kuonekana
kwamba chama cha CCM ambacho ni chama tawala kimeiba kura kwa ngazi ya Urais
kwa kutaka ili kuingia Ikulu .
Tuhuma
zote hizo zilikuwa zikitoke chama pinzani ambacho ni CHADEMA pia ni chama
pinzani kikubwa katika serikali ya Tanzania vikifuata na vingine .Vilevile
baadhi ya nchi jirani kama Rwanda,Burundi,Kenya na zinginzo tumeona kashikashi
zikitoke , Kenya kwa sasa wako katika uchaguzi mkuu amabapo cha pinzani cha
Laila Odiga kikioneka kikiilalamikia chama
tawala cha Uhuru Kenyatta kwa kudukua kura kupitia mtandaoni .Mambao
kama haya hutokea pale ambapo upande mwingine wa ugombeaji kuonekana kwamba ni
ngumu kupata kile amabacho tayali wametalajia kupata.
kama walivyokuwa wamejipanga hapo awali.Kila
chama kabla ya kuingia katika uchaguzi ni lazima kifahamu kuwa kunauwezekano
mkubwa chama kama chama kufaulu au kufeli kupata kile amabacho ni kusudio lake,
pia watu wafahamu kuwa au wagombea wafahamu kuwa anayepiga kura ni mwananchi
tena wakaida amabaye yeye anaamua kutoa kura yake kwako wewe kama mgombea ili
ukamwakilishe au ukawakilishe mahitaji yake yeye amabayo anayataka kutoka
serikalini na pasipo kuangaalia maslihi yako mwenyewe.
Hivyo
basi wewe kama mgombea wa chama chochote cha siasa hupaswi kulalamika au
kupeleka lawama kwenda chama kingine na ukajisahau kuwa kura zote hizo amabazo
zimepigwa ni kutoka kwa wananchi.