FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA

Familia nyingi zilipoteza dungu na jamaa katika vita hivyo ambavyo viliambatana na kasia nyingi ikiwemo ubakaji ulawiti na mambo mengi ambayo yalikuwa ni ya kikatili
Nasihivyo 2 watoto wa mitaani waliongezeka kwa asilimia nyingi hii ni kwasababu familia ilipoteza baba na mama wajomba na pia ndugu wengine hivyo walibaki mtaani bila msaada wowote.vita hivi vilitokea nchini Rwanda hivyo bas watu wengi walipoteza maisha na pia taifa kupoteza nguvu kazi katika maendeleo ya kitaifa 







                                                                  

                                                 Image result for mauaji ya kimbali
First