FIGHT FOR FREEDOM

FIGHT FOR FREEDOM

JITIHADA KATIKA KUFIKIA MALENGO YA KIMUZIKI; AY


Mwanamuziki wa Bongo Fleva Ay anasema kuwa licha ya kuwa na majukumu mengi ya kimaisha lakini suala la kimuziki na  taratibu zote za kuhakikisha unasongo mbele kwa kiasi kikubwa kwa sababu ni moja ya kazi ambayo muda wote anaifikilia kichwani kwaajili ya kufikia lengo kubwa zaidi la maisha kupitiia kazi hiyo.
Aidha msanii huyo alienda mbali zaidi kwa kueleza jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kimuziki licha yakuwepo na changamoto kwa maana kazi yeyote haiwezi kukosa  vizingiti ambavyo ni chazo cha kukushusha kuelekea mafanikio.

“Mara nyigi katika utaratibu wangu ni lazima nifanye kitu baada ya wiki moja au mbili kwa sababu naamini muziki ni kama mpira,riadha, kitu ambacho kinahitaji mazoezi ya kila wakati sababu ukikaa bila kufanya chochote unaweza kudumaa kimuziki” alisema Ay.

Kuachilia na hilo Alisema kuwa  anafurahi kuona kuwa baadhi ya wafanya biashara kuwekeza katika muziki kitu ambacho ni faida kubwa sana  kwa msanii sababu inaongeza zaidi thamani ya kubwa katika kuufikisha muziki huo mbali

Hata hivyo napenda   baadhi ya wafanyabiashara wameanza kugudua kuwa wanaweza kuwekeza kwa msanii kama sehemu ya kuinua biashara katika hatua nyingine vilevile nachoamini ni kitu kimoja kuwa msanii siyo mfanya biashara ila msanii ni biashara” aliongeza

Kwahiyo ni wakati sasa ambapo msanii kusimama katika kazi yake kwa ajili ya kuutunza utamaduni wake na nchi kiujumla.