Friday 11 August 2017

KASHIKASHI ZA UCHAGUZI KATIKA NCHI MBALIMBALI




Unafikili wewe kama binaadamu wakawaida kabisa umeshawahi kufikilia au kujiuliza swali  kuwa kila uchaguzi wowote amabo hufanyika  Duniani kote  hapakosi migogoro ya hapa na pale?.

Kikawaida kwakufikilia haraka nafikili tayali kitu kama hiki  kimekutokea na kama bado nakusihii fikili sasa ila tuepukanae na kashikashi hizi amabzo hutokea wakati wa uchanguzi
Kashikashi hizi hutokea pale ambapo upande mwingine wa ugombeaji kuonekana kuwa na alama dogo au kura dogo za ushindi katika uchaguzi huo ,Uchaguzi Mkuu  wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo ilihusisha vyama vingi vilivyoshiliki katika kuwania uongozi mkuu wa (Rais , Wabunge pia hata Madiwani) kulitokea kashikashi ya kuonekana kwamba chama cha CCM ambacho ni chama tawala kimeiba kura kwa ngazi ya Urais kwa kutaka ili kuingia Ikulu .
Tuhuma zote hizo zilikuwa zikitoke chama pinzani ambacho ni CHADEMA pia ni chama pinzani kikubwa katika serikali ya Tanzania vikifuata na vingine .Vilevile baadhi ya nchi jirani kama Rwanda,Burundi,Kenya na zinginzo tumeona kashikashi zikitoke , Kenya kwa sasa wako katika uchaguzi mkuu amabapo cha pinzani cha Laila Odiga kikioneka kikiilalamikia chama  tawala cha Uhuru Kenyatta kwa kudukua kura kupitia mtandaoni .Mambao kama haya hutokea pale ambapo upande mwingine wa ugombeaji kuonekana kwamba ni ngumu kupata kile amabacho tayali wametalajia kupata.
 kama walivyokuwa wamejipanga hapo awali.Kila chama kabla ya kuingia katika uchaguzi ni lazima kifahamu kuwa kunauwezekano mkubwa chama kama chama kufaulu au kufeli kupata kile amabacho ni kusudio lake, pia watu wafahamu kuwa au wagombea wafahamu kuwa anayepiga kura ni mwananchi tena wakaida amabaye yeye anaamua kutoa kura yake kwako wewe kama mgombea ili ukamwakilishe au ukawakilishe mahitaji yake yeye amabayo anayataka kutoka serikalini na pasipo kuangaalia maslihi yako mwenyewe.

Hivyo basi wewe kama mgombea wa chama chochote cha siasa hupaswi kulalamika au kupeleka lawama kwenda chama kingine na ukajisahau kuwa kura zote hizo amabazo zimepigwa ni kutoka kwa wananchi.   

No comments:

Post a Comment

nice