Kagere alifunga bao la kwanza dakika ya 64 kwa kichwa akimalizia krosi iliyopigwa na Innocent Wahula.
Mshambuliaji huyo ambaye mara kadhaa amekuwa akizitoa udenda klabu za Simba na Yanga alifunga bao la pili dakika ya 83 kwa penalti baada ya mlinzi wa Jang'ombe kuunawa
mpira katika eneo la hatari.
Kwa matokeo hayo Gor Mahia sasa inasubiri mshindi kati ya Simba na Nakuru All Stars katika hatua ya nusu fainali.
No comments:
Post a Comment
nice